Posts

Jonathan cornel shimwela

 Jonatahan kornel shimwela nimezaliwa tabora miaka ya 90 ila katika makuzi yangu nimekulia sehemu2 tabora na mbeya maana mbeya ndiko asili yangu asili yangu ni mundali kabila linalo patikana wilaya ya ileje mkoani songwe